otázka | odpověď | |||
---|---|---|---|---|
therefore
|
kwa hiyo
|
|||
Therefore, he will pass the exam
|
Kwa hivyo, atafaulu mtihani.
|
|||
for this reason (s)
|
kwa sababu hiyo
|
|||
As a result
|
kutokana na hayo
|
|||
As a result, he will pass the exam
|
Kutokana na hayo, atafaulu mtihani
|
|||
accordingly (h)
|
hivyo
|
|||
therefore (b)
|
basi
|
|||
This is the reason (2)
|
Ndiyo maana, ndiyo sababu
|
|||
since (k)
|
kutokana na kuwa
|
|||
because (k) (4)
|
Kwa kuwa, kwa vile, kwani, kwa sababu
|